Nakukaribisha katika sikukuu ya Eid El Fitr....Eid pili(baada ya ramadhan) Njoo tufurahike pamoja na kupata wasaa mzuri wa kusikiliza Qur-an tukufu, kusikiliza MADA juu ya STARA kuona na kujifunza UMUHIMU WA STARA🧕🏼 kwa MAMA, DADA na ndugu zetu wa JINSI ya kike InshaAllah