cornwelltanzaniahealthcare NATUROLIFE HEALTHTALK
Timu ya Cornwell Tanzania inawakaribisha wote kwenye Evening health Talk itakayofanyika Tanzanite Park ghorofa ya saba Siku ya Jumamosi ya tarehe 25 Januari
Karibu upate elimu ya afya kutoka kwa Naturopathic Doctors wetu, karibu uulize maswali kuhusu afya
Drinks and Bites
A
Kushiriki Tsh 25,000 tu kwa kila mmoja
Tafadhali wasiliana nasi kwa Taarifa zaidi
Karibu sana
DAR ES SALAAM : Victoria Makumbusho, Tanzanite Park, ghorofa ya pili. 0626888111
2. DODOMA: Opposite Kisasa Primary 0718515763
Jumatatu hadi Ijumaa, kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa 11 jioni.
3. Kimbiji Kigamboni Kwa appointment, tafadhali wasiliana nasi.
0750 212 000 au 0713306263 tembelea website zetu
www.cornwelltanzania.com
Social media: CORNWELL TANZANIA