Msakuzi Pande Game Reserve Marathon Msimu wa 2 umewadia
Ni tr 1/8/2026 ndani ya Hifadhi ya Pande. Mbio za kipekee zinazofanyika ndani ya hifadhi.
Tunakata wese kwa Km 2, 5, 10 na 21.
Baada ya Marathon tunapata nyama choma Pori, vinywaji vya kutosha na live band.
Usipange kukosa jisajili Sasa kwa Tsh 35,000 tu
Unapata t-shirt, kiingilio Hifadhi ya Pande, medal, juice, maji na kuona wanyama pori.
Kutakuwa pia na tents kulala ndani ya hifadhi, fanya booking mapema. Kwa masiliano piga 0712248862
Hifadhi inaweza kufikiwa kwa urahisi kwa barabara kutoka Barabara ya Bagamoyo kupitia Bunju B kwa takriban kilomita 8 au kutoka Barabara ya Morogoro kupitia Mbezi kwa Yusuph kwa takriban kilomita 16.